Total Pageviews

Sunday, 3 June 2012

I wish you all a blessed sunday



Live Love Laugh

Friday, 1 June 2012

Watch brand new professional music video ''Pretty Girl'

Support mia mia vya kwetu, nikimaanisha vya Tanzania:) Kazi nzuri hii, Big up JanB and Obi.
Unaionaje? toa maoni yako, JanB anapita hapa na angependa kupata maoni yenu.
The lady in the video amenikumbusha African night Cruise, kama mnakumbuka ndio alishinda Miss Africa in Sweden kwenye cruise party. Ametokelezea vizuri sana.

Another song from MYU3




 Welcome To Heartbreak called "Chapaa". In this
song Wakazi features a singer from Burundi, named Mtulivu.

TUSHUKURU KWA YOTE-LAMECK DITTO

Sikiliza wimbo wenye mengi ya kujifunza, kikubwa ni Tushukuru kwa yote yawe mabaya au mazuri tushukuru. Naupenda sana huu wimbo, Big up Lameck. Taarifa nilizopata hivi punde kutoka kwa Lameck ni kwamba atatoa kibao kipya mwezi wa saba. Tunakisubiria kwa hamu na lahasha kitakuwa kikali zaidi.


Thursday, 31 May 2012

JESTINA GEORGE ON AFRICAN FASHION & DESIGNS






Jestina George is a fashionista, blogger, Presenter and a model based in London, from Tanzania the land of Kilimanjaro. AILTV caught up with her at the the launch of READY TO WARE by Anna Luks. Jestina is speaking is expressing her concerns about African fashion and designs.

Ukweli unauma na nikijua moyo utauma.....



Nakupenda ndio skiza moyo wangu unavyokwenda mbio....
I love this song sooooooo much!!

Wednesday, 30 May 2012

Aida's Bridal Shower pics


 Beautiful people who made it to Aida's bridal shower


  

African ladies, so beautiful





Tulifurahijeeeeee, tukachezajeeeeee haswaaaaaa



sisters sisters 


I love this pic sooooo much, happy sisters 


Wanakamati wa shughuli mmependezajeeeee



Dadaz wenyeweeee mmetokelezea 



 
Nice one


Waremboooo



Happy people



Dadaz wangu mko juuu,pendezaaaaa




Tulishiba haswaaaaa, vitu vitamu vitamu:) chapati,vitumbua,kuku nk



The End!!
Nawaacha na busu:)

Kila la kheri bi Aida
Muaaah muaaaaah

PS: Picha nilizoweka nimepewa ruhusa na wahusika kuziweka hapa so kama wewe hukuomba watu kuweka picha zao usitafute ubaya na watu na kuweka picha zao. Naheshimu maamuzi ya watu na ndio maana niliuliza kama naweza kuwapiga na kuweka picha zao kwenye blog yangu. I hope unaejiuliza umepata jibu.




Diamond alivyowakilisha....

Diamond amewakilisha Tanzania vizuri sana na anastahili pongezi. Hiki ni kipande kifupi tuu sasa fikiria kuona live show  nzima....hapana chezea Almasi.